Mhubiri 10:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Roho yake mtawala ikiinuka kinyume chako, Usiondoke mara mahali pako ulipo; Kwa maana roho ya upole hutuliza machukizo yaliyo makubwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mtawala akikuwakia hasira, usijiuzulu; makosa makubwa huweza kufutwa ukiwa mnyenyekevu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mtawala akikuwakia hasira, usijiuzulu; makosa makubwa huweza kufutwa ukiwa mnyenyekevu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mtawala akikuwakia hasira, usijiuzulu; makosa makubwa huweza kufutwa ukiwa mnyenyekevu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kama hasira ya mtawala ikiwaka dhidi yako, usiache mahali pako, utulivu huweza kuzuia makosa mengi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kama hasira ya mtawala ikiwaka dhidi yako, usiache mahali pako, utulivu huweza kuzuia makosa mengi. Tazama sura |