Mhubiri 10:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Heri kwako, nchi, mfalme wako akiwa mtoto wa watu, Na wakuu wako hula wakati ufaao, Ili makusudi wapate nguvu, wala si kwa ajili ya ulevi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Heri yako, ewe nchi, mtawala wako akiwa mtu wa heshima, na viongozi wako wakifanya sherehe wakati wa kufaa, ili kujipatia nguvu na si kujilewesha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Heri yako, ewe nchi, mtawala wako akiwa mtu wa heshima, na viongozi wako wakifanya sherehe wakati wa kufaa, ili kujipatia nguvu na si kujilewesha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Heri yako, ewe nchi, mtawala wako akiwa mtu wa heshima, na viongozi wako wakifanya sherehe wakati wa kufaa, ili kujipatia nguvu na si kujilewesha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Heri wewe, ee nchi ambayo mfalme wako ni wa uzao wenye kuheshimika, na ambayo wakuu wako hula chakula kwa wakati unaofaa: wao hula ili kupata nguvu na si kwa ajili ya ulevi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Heri wewe, ee nchi ambayo mfalme wako ni wa uzao wenye kuheshimika na ambayo wakuu wako hula chakula kwa wakati unaofaa: ili kupata nguvu na si kwa ajili ya ulevi. Tazama sura |