Mhubiri 10:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Ole wako, nchi, iwapo mfalme wako ni kijana, Na wakuu wako hula asubuhi! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Ole wako, ewe nchi, mtawala wako akiwa kijana, na viongozi wako wakifanya sherehe asubuhi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Ole wako, ewe nchi, mtawala wako akiwa kijana, na viongozi wako wakifanya sherehe asubuhi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Ole wako, ewe nchi, mtawala wako akiwa kijana, na viongozi wako wakifanya sherehe asubuhi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Ole wako, ee nchi ambayo mfalme wako alikuwa mtumwa na ambayo wakuu wako hufanya karamu asubuhi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Ole wako, ee nchi ambayo mfalme wako alikuwa mtumwa na ambayo wakuu wako hufanya karamu asubuhi. Tazama sura |