Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mhubiri 10:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Nyoka akiuma kabla hajachezeshwa, Basi hakuna faida ya mchezeshaji.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Nyoka akiuma kabla hajachochewa, mchochezi hahitajiki tena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Nyoka akiuma kabla hajachochewa, mchochezi hahitajiki tena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Nyoka akiuma kabla hajachochewa, mchochezi hahitajiki tena.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Nyoka akiuma kabla ya kuchezeshwa, mchezeshaji hatahitajika tena.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kama nyoka akiuma kabla ya kufanyiwa uaguzi, mwaguzi hatahitajika tena.

Tazama sura Nakili




Mhubiri 10:11
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ulimi wako watunga madhara, Kama wembe mkali, Ewe mwenye hila.


Ee Mungu, uyavunje meno yao vinywani mwao; Ee BWANA, uyavunje magego ya wanasimba.


Waliounoa ulimi wao kama upanga, Wanaoyalenga maneno ya uchungu kama mishale,


Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake.


Iwapo chuma hakipati, wala mtu hakinoi; Ndipo hana budi kutumia nguvu zaidi. Lakini yafaa kutumia hekima, na kufanikiwa.


Maana, tazama, nitatuma nyoka, naam, fira, kati yenu, wasioweza kutumbuizwa kwa uganga; nao watawauma, asema BWANA.


Nao ulimi ni moto; ule ulimwengu wa uovu, ule ulimi, umewekwa katika viungo vyetu, nao ndio uutiao mwili wote unajisi, huuwasha moto mfululizo wa maumbile, nao huwashwa moto na Jehanamu.


Bali ulimi hakuna awezaye kuufuga; ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo