Mhubiri 10:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Iwapo chuma hakipati, wala mtu hakinoi; Ndipo hana budi kutumia nguvu zaidi. Lakini yafaa kutumia hekima, na kufanikiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Nguvu nyingi zaidi zahitajika kwa mtumiaji shoka butu lisilonolewa, lakini kutumia hekima humfanya mtu afanikiwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Nguvu nyingi zaidi zahitajika kwa mtumiaji shoka butu lisilonolewa, lakini kutumia hekima humfanya mtu afanikiwe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Nguvu nyingi zaidi zahitajika kwa mtumiaji shoka butu lisilonolewa, lakini kutumia hekima humfanya mtu afanikiwe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kama shoka ni butu na halikunolewa, nguvu nyingi zinahitajika, lakini ustadi utaleta mafanikio. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kama shoka ni butu na halikunolewa, nguvu nyingi zinahitajika, lakini ustadi utaleta mafanikio. Tazama sura |