Mhubiri 10:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Nzi waliokufa hufanya manukato ya mwuza marashi kutoa uvundo; Kadhalika upumbavu haba ni mzito kuliko hekima na heshima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Nzi waliokufa husababisha marashi kunuka; upumbavu kidogo hubatilisha hekima na heshima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Nzi waliokufa husababisha marashi kunuka; upumbavu kidogo hubatilisha hekima na heshima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Nzi waliokufa husababisha marashi kunuka; upumbavu kidogo hubatilisha hekima na heshima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Kama vile inzi waliokufa huacha harufu mbaya kwenye manukato, ndivyo upumbavu kidogo huzidi nguvu hekima na heshima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Kama vile nzi waliokufa huacha harufu mbaya kwenye manukato, ndivyo upumbavu kidogo huzidi nguvu hekima na heshima. Tazama sura |