Mhubiri 1:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Yaani, Katika wingi wa hekima mna wingi wa huzuni; Naye aongezaye maarifa huongeza masikitiko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Maana katika kuwa na hekima nyingi mna wasiwasi; na aongezaye maarifa zaidi huongeza huzuni zaidi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Maana katika kuwa na hekima nyingi mna wasiwasi; na aongezaye maarifa zaidi huongeza huzuni zaidi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Maana katika kuwa na hekima nyingi mna wasiwasi; na aongezaye maarifa zaidi huongeza huzuni zaidi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kwa kuwa hekima nyingi huleta huzuni kubwa; maarifa yanapoongezeka, masikitiko yanaongezeka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kwa kuwa hekima nyingi huleta huzuni kubwa; maarifa yanapoongezeka, masikitiko yanaongezeka. Tazama sura |