Methali 9:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Amechinja nyama zake, amechanganya divai yake, Ameiandalia meza yake pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Amechinja wanyama wa karamu, divai yake ameitayarisha, ametandika meza yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Amechinja wanyama wa karamu, divai yake ameitayarisha, ametandika meza yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Amechinja wanyama wa karamu, divai yake ameitayarisha, ametandika meza yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Ameandaa nyama na kuchanganya divai yake; pia ameandaa meza yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Ameandaa nyama na kuchanganya divai yake; pia ameandaa meza yake. Tazama sura |