Methali 9:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Lakini huyo hajui ya kuwa wafu wamo humo; Ya kuwa wageni wake wamo chini kuzimuni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Lakini mjinga hajui kwamba humo mna wafu, wageni wa mwanamke huyo wamo chini Kuzimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Lakini mjinga hajui kwamba humo mna wafu, wageni wa mwanamke huyo wamo chini Kuzimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Lakini mjinga hajui kwamba humo mna wafu, wageni wa mwanamke huyo wamo chini Kuzimu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo, kwamba wageni wake huyo mwanamke wako katika vilindi vya Kuzimu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo, kwamba wageni wake huyo mwanamke wako katika vilindi vya kuzimu. Tazama sura |