Methali 8:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Maana yeye anionaye mimi aona uzima, Naye atapata kibali kwa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Anayenipata mimi amepata uhai, amepata upendeleo kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Anayenipata mimi amepata uhai, amepata upendeleo kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Anayenipata mimi amepata uhai, amepata upendeleo kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Kwa maana yeyote anipataye mimi amepata uzima, na kujipatia kibali kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Kwa maana yeyote anipataye mimi amepata uzima, na kujipatia kibali kutoka kwa bwana. Tazama sura |