Methali 8:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Alipoipa bahari mpaka wake, Kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoiagiza misingi ya nchi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 wakati alipoiwekea bahari mpaka wake, maji yake yasije yakavunja amri yake; wakati alipoiweka misingi ya dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 wakati alipoiwekea bahari mpaka wake, maji yake yasije yakavunja amri yake; wakati alipoiweka misingi ya dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 wakati alipoiwekea bahari mpaka wake, maji yake yasije yakavunja amri yake; wakati alipoiweka misingi ya dunia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 wakati aliiwekea bahari mpaka wake ili maji yasivunje agizo lake, na wakati aliweka misingi ya dunia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 wakati aliiwekea bahari mpaka wake ili maji yasivunje agizo lake, na wakati aliweka misingi ya dunia. Tazama sura |