Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Methali 8:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 Alipokuwa hajaiumba dunia, wala mashamba Wala chanzo cha udongo wa dunia;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Kabla Mungu hajaumba dunia na mashamba yake, wala chembe za kwanza za mavumbi ya dunia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Kabla Mungu hajaumba dunia na mashamba yake, wala chembe za kwanza za mavumbi ya dunia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Kabla Mungu hajaumba dunia na mashamba yake, wala chembe za kwanza za mavumbi ya dunia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 kabla hajaumba dunia wala mashamba yake au vumbi lolote la dunia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 kabla hajaumba dunia wala mashamba yake au vumbi lolote la dunia.

Tazama sura Nakili

Methali 8:26
3 Marejeleo ya Msalaba  

Kabla milima haijawekwa imara, Kabla ya vilima nilizaliwa.

Alipozithibitisha mbingu nilikuwako; Alipopiga duara katika uso wa bahari;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo