Methali 7:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Ndiyo maana nikatoka nikulaki, Nikutafute uso wako kwa bidii, nami nimekuona. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Ndio maana nimetoka ili nikulaki, nimekutafuta kwa hamu nikakupata. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Ndio maana nimetoka ili nikulaki, nimekutafuta kwa hamu nikakupata. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Ndio maana nimetoka ili nikulaki, nimekutafuta kwa hamu nikakupata. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Kwa hiyo nimetoka nje kukulaki; nimekutafuta na nimekupata! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Kwa hiyo nimetoka nje kukulaki; nimekutafuta na nimekupata! Tazama sura |