Methali 7:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Basi akamshika, akambusu, Akamwambia kwa uso usio na haya, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Alimkumbatia kijana huyo na kumbusu, na kwa maneno matamu, akamwambia: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Alimkumbatia kijana huyo na kumbusu, na kwa maneno matamu, akamwambia: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Alimkumbatia kijana huyo na kumbusu, na kwa maneno matamu, akamwambia: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Huyo mwanamke alimkumbatia kijana na kumbusu, na kwa uso usio na haya akamwambia: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Huyo mwanamke alimkumbatia kijana na kumbusu, na kwa uso usio na haya akamwambia: Tazama sura |