Methali 6:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Yakulinde na mwanamke mwovu, asikupate, Na kukuponya na ubembelezi wa mgeni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Yatakulinda mbali na mwanamke mbaya, yatakuepusha na maneno matamu ya mwanamke mgeni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Yatakulinda mbali na mwanamke mbaya, yatakuepusha na maneno matamu ya mwanamke mgeni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Yatakulinda mbali na mwanamke mbaya, yatakuepusha na maneno matamu ya mwanamke mgeni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 yakikulinda na mwanamke aliyepotoka, kutokana na maneno laini ya mwanamke aliyepotoka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 yakikulinda na mwanamke aliyepotoka, kutokana na maneno laini ya mwanamke aliyepotoka. Tazama sura |