Methali 6:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Uendapo yatakuongoza, ulalapo yatakulinda, Na uamkapo yatazungumza nawe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Yatakuongoza njiani mwako, yatakulinda wakati ulalapo, yatakushauri uwapo macho mchana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Yatakuongoza njiani mwako, yatakulinda wakati ulalapo, yatakushauri uwapo macho mchana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Yatakuongoza njiani mwako, yatakulinda wakati ulalapo, yatakushauri uwapo macho mchana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Unapotembea, yatakuongoza; unapolala, yatakulinda; unapoamka, yatazungumza nawe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Wakati utembeapo, yatakuongoza; wakati ulalapo, yatakulinda; wakati uamkapo, yatazungumza nawe. Tazama sura |