Methali 5:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Basi, wanangu, nisikilizeni sasa, Wala msiache maneno ya kinywa changu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Sasa enyi wanangu, nisikilizeni, wala msisahau maneno ya kinywa changu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Sasa enyi wanangu, nisikilizeni, wala msisahau maneno ya kinywa changu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Sasa enyi wanangu, nisikilizeni, wala msisahau maneno ya kinywa changu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Sasa basi wanangu, nisikilizeni; msiache ninalowaambia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Sasa basi wanangu, nisikilizeni; msiache ninalowaambia. Tazama sura |