Methali 5:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Miguu yake inateremkia mauti; Hatua zake zinashikamana na kuzimu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Nyayo zake zaelekea chini mautini, hatua zake zaenda kuzimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Nyayo zake zaelekea chini mautini, hatua zake zaenda kuzimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Nyayo zake zaelekea chini mautini, hatua zake zaenda kuzimu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Miguu yake hushuka kuelekea kwenye kifo; hatua zake huelekea moja kwa moja kaburini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Miguu yake hushuka kuelekea kwenye kifo; hatua zake huelekea moja kwa moja kaburini. Tazama sura |