Methali 5:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Je! Chemchemi zako zitawanyike mbali, Na mito ya maji katika njia kuu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Ya nini chemchemi zako zitawanywe mbali, na vijito vya maji barabarani? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Ya nini chemchemi zako zitawanywe mbali, na vijito vya maji barabarani? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Ya nini chemchemi zako zitawanywe mbali, na vijito vya maji barabarani? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Je, chemchemi zako zifurike katika barabara za mji na vijito vyako vya maji viwanjani? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Je, chemchemi zako zifurike katika barabara za mji na vijito vyako vya maji viwanjani? Tazama sura |