Methali 5:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Ukasema, Jinsi nilivyochukia maonyo, Na moyo wangu ukadharau kukemewa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Hapo utasema, “Jinsi gani nilivyochukia nidhamu, na kudharau maonyo moyoni mwangu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Hapo utasema, “Jinsi gani nilivyochukia nidhamu, na kudharau maonyo moyoni mwangu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Hapo utasema, “Jinsi gani nilivyochukia nidhamu, na kudharau maonyo moyoni mwangu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Utasema, “Tazama jinsi gani nilivyochukia adhabu! Tazama jinsi moyo wangu ulivyodharau maonyo! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Utasema, “Tazama jinsi gani nilivyochukia adhabu! Tazama jinsi moyo wangu ulivyodharau maonyo! Tazama sura |