Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Methali 5:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Wageni wasije wakashiba nguvu zako; Kazi zako zikawa ndani ya nyumba ya mgeni;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 wageni wasije wakajishibisha kwa mali yako, na jasho lako likaishia nyumbani kwa mgeni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 wageni wasije wakajishibisha kwa mali yako, na jasho lako likaishia nyumbani kwa mgeni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 wageni wasije wakajishibisha kwa mali yako, na jasho lako likaishia nyumbani kwa mgeni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 wageni wasije wakasherehekea utajiri wako, na jitihada yako ikatajirisha nyumba ya mwanaume mwingine.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 wageni wasije wakasherehekea utajiri wako na jitihada yako ikatajirisha nyumba ya mwanaume mwingine.

Tazama sura Nakili




Methali 5:10
8 Marejeleo ya Msalaba  

Apendaye hekima humfurahisha babaye; Bali ashikamanaye na makahaba hutapanya mali.


Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wanaowaharibu wafalme.


Nawe ukaziombolea siku zako za mwisho, Nyama yako na mwili wako utakapoangamia;


Usije ukawapa wengine heshima yako, Na wakatili miaka yako;


Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani


Hatakubali fidia yoyote; Wala hatakuwa radhi, ujapomlipa vitu vingi.


Wageni wamekula nguvu zake, naye hana habari; naam, nywele za mvi zimeonekana huku na huko juu yake, naye hana habari.


lakini, alipokuja huyu mwana wako aliyekula vitu vyako pamoja na makahaba, umemchinjia yeye ndama aliyenona.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo