Methali 31:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Kiko wapi kileo? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Haifai ee Lemueli, haifai wafalme kunywa divai, wala wakuu kutamani vileo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Haifai ee Lemueli, haifai wafalme kunywa divai, wala wakuu kutamani vileo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Haifai ee Lemueli, haifai wafalme kunywa divai, wala wakuu kutamani vileo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 “Ee Lemueli, haifai wafalme, haifai wafalme kunywa mvinyo, haifai watawala kutamani sana kileo, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 “Ee Lemueli, haifai wafalme, haifai wafalme kunywa mvinyo, haifai watawala kutamani sana kileo, Tazama sura |