Methali 31:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Nguvu na heshima ndizo sifa zake, hucheka afikiriapo wakati ujao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Nguvu na heshima ndizo sifa zake, hucheka afikiriapo wakati ujao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Nguvu na heshima ndizo sifa zake, hucheka afikiriapo wakati ujao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Amevikwa nguvu na heshima, anaweza kucheka bila kuwa na hofu kwa siku zijazo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Amevikwa nguvu na heshima, anaweza kucheka bila kuwa na hofu kwa siku zijazo. Tazama sura |