Methali 31:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Mwanamke huyo hutengeneza nguo na kuziuza, huwauzia wafanyabiashara mishipi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Mwanamke huyo hutengeneza nguo na kuziuza, huwauzia wafanyabiashara mishipi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Mwanamke huyo hutengeneza nguo na kuziuza, huwauzia wafanyabiashara mishipi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Hutengeneza mavazi ya kitani na kuyauza, naye huwauzia wafanyabiashara mishipi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Hutengeneza mavazi ya kitani na kuyauza, naye huwauzia wafanyabiashara mishipi. Tazama sura |