Methali 31:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Husokota nyuzi kwa mikono yake mwenyewe, kwa vidole vyake mwenyewe husuka nguo zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Husokota nyuzi kwa mikono yake mwenyewe, kwa vidole vyake mwenyewe husuka nguo zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Husokota nyuzi kwa mikono yake mwenyewe, kwa vidole vyake mwenyewe husuka nguo zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Huweka mikono yake kwenye pia, navyo vidole vyake hushikilia kijiti chenye uzi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Huweka mikono yake kwenye pia, navyo vidole vyake hushikilia kijiti chenye uzi. Tazama sura |