Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 31:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Hufikiria kununua shamba, kisha hulinunua, na kulima zabibu kwa faida ya jasho lake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Hufikiria kununua shamba, kisha hulinunua, na kulima zabibu kwa faida ya jasho lake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Hufikiria kununua shamba, kisha hulinunua, na kulima zabibu kwa faida ya jasho lake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Huangalia shamba na kulinunua; kutokana na mapato yake hupanda shamba la mizabibu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Huangalia shamba na kulinunua, kutokana na mapato yake hupanda shamba la mizabibu.

Tazama sura Nakili




Methali 31:16
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.


Tena huamka, kabla usiku haujaisha; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.


Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu.


Shamba langu la mizabibu, lililo langu mimi, liko mbele yangu. Basi, Sulemani, wewe uwe na elfu zako, Na hao wayalindao matunda yake wapewe mia mbili.


Tena ufalme wa mbinguni umefanana na hazina iliyositirika katika shamba; ambayo mtu alipoiona, aliificha; na kwa furaha yake akaenda akauza alivyo navyo vyote, akalinunua shamba lile.


Kisha ikawa, hapo huyo mwanamke alipokwenda kwa mumewe, akamtaka aombe shamba kwa baba yake; akashuka katika punda wake; Kalebu akamwuliza, Unataka nikupe nini?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo