Methali 31:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mumewe humwamini kwa moyo, kwake atapata faida daima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mumewe humwamini kwa moyo, kwake atapata faida daima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mumewe humwamini kwa moyo, kwake atapata faida daima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Mume wake anamwamini kikamilifu, wala hakosi kitu chochote cha thamani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Mume wake anamwamini kikamilifu wala hakosi kitu chochote cha thamani. Tazama sura |