Methali 31:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana thamani yake yapita thamani ya marijani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mke mwema kweli, apatikana wapi? Huyo ana thamani kuliko johari! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mke mwema kweli, apatikana wapi? Huyo ana thamani kuliko johari! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mke mwema kweli, apatikana wapi? Huyo ana thamani kuliko johari! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mke mwenye sifa nzuri, ni nani awezaye kumpata? Yeye ni wa thamani sana kuliko marijani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mke mwenye sifa nzuri, ni nani awezaye kumpata? Yeye ni wa thamani sana kuliko marijani. Tazama sura |