Methali 30:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Nisije nikashiba nikakukana, Nikasema, BWANA ni nani? Wala nisiwe maskini sana nikaiba, Na kulitaja bure jina la Mungu wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 nisije nikashiba nikakukana; nikasema, “Mwenyezi-Mungu ni nani?” Au nisije nikawa maskini nikaiba, na kulikufuru jina lako ee Mungu wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 nisije nikashiba nikakukana; nikasema, “Mwenyezi-Mungu ni nani?” Au nisije nikawa maskini nikaiba, na kulikufuru jina lako ee Mungu wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 nisije nikashiba nikakukana; nikasema, “Mwenyezi-Mungu ni nani?” Au nisije nikawa maskini nikaiba, na kulikufuru jina lako ee Mungu wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Nisije nikawa na vingi vya kuzidi nikakukana na kusema, ‘Mwenyezi Mungu ni nani?’ Au nisije nikawa maskini nikaiba, nami nikaliaibisha jina la Mungu wangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Nisije nikawa na vingi vya kuzidi nikakukana na kusema, ‘bwana ni nani?’ Au nisije nikawa maskini nikaiba, nami nikaliaibisha jina la Mungu wangu. Tazama sura |