Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 30:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

33 Kwa maana kupiga maziwa huleta siagi; Na kupiga pua hutokeza damu; kadhalika kuchochea hasira hutokeza ugomvi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Maana ukisukasuka maziwa utapata siagi, ukimpiga mtu pua atatoka damu; kadhalika kuchochea hasira huleta ugomvi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Maana ukisukasuka maziwa utapata siagi, ukimpiga mtu pua atatoka damu; kadhalika kuchochea hasira huleta ugomvi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Maana ukisukasuka maziwa utapata siagi, ukimpiga mtu pua atatoka damu; kadhalika kuchochea hasira huleta ugomvi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Kwa maana kama vile kusukasuka maziwa hutoa siagi, na pia kule kufinya pua hutoa damu, kadhalika kuchochea hasira huleta ugomvi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Kwa maana kama vile kusukasuka maziwa hutoa siagi, na pia kule kufinya pua hutoa damu, kadhalika kuchochea hasira hutokeza ugomvi.”

Tazama sura Nakili




Methali 30:33
9 Marejeleo ya Msalaba  

Akatwaa siagi na maziwa, na ndama aliyoiandaa, akawaandalia mbele yao, akasimama karibu nao chini ya mti, nao wakala.


Kuchukiana huleta fitina; Bali kupendana husitiri makosa yote.


Mtu wa hasira huchochea ugomvi; Bali asiye mwepesi wa hasira hutuliza mashindano.


Mtu mshupavu huleta fitina; Na mchongezi huwafarakanisha rafiki.


Mwanzo wa ugomvi ni kama kutoboa penye maji; Basi acheni ugomvi kabla haujafurika.


Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, Na kama kuni juu ya moto; Ndivyo mtu mgomvi achocheavyo uadui.


Mwenye nafsi ya kutamani huchochea fitina; Bali amtumainiye BWANA ataneemeshwa.


Mtu wa hasira huchochea ugomvi; Na mtu mwenye ghadhabu huasi sana.


Maneno ya mfalme Lemueli; mausia aliyofundishwa na mama yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo