Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 30:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

32 Ikiwa umefanya kipumbavu kwa kujikuza; Au ikiwa umewaza mabaya; Basi weka mkono wako juu ya kinywa chako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Kama umekuwa mpumbavu hata ukajisifu, au kama umekuwa unapanga maovu, chunga mdomo wako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Kama umekuwa mpumbavu hata ukajisifu, au kama umekuwa unapanga maovu, chunga mdomo wako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Kama umekuwa mpumbavu hata ukajisifu, au kama umekuwa unapanga maovu, chunga mdomo wako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 “Ikiwa umefanya upumbavu na ukajitukuza mwenyewe, au kama umepanga mabaya, basi funika mdomo wako kwa mkono wako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 “Ikiwa umefanya upumbavu na ukajitukuza mwenyewe, au kama umepanga mabaya, basi funika mdomo wako na mkono wako.

Tazama sura Nakili




Methali 30:32
8 Marejeleo ya Msalaba  

Niangalieni, mkastaajabu, Mkaweke mkono kinywani.


Tazama, mimi si kitu kabisa, nikujibu nini? Naweka mkono wangu kinywani pangu.


Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu.


Je! Wamwona mtu mwenye hekima machoni pake mwenyewe? Afadhali kumtumaini mpumbavu kuliko yeye.


Jogoo anayetamba; na beberu; Na mfalme asimamaye mbele ya watu wake.


Basi twajua ya kuwa mambo yote inenayo torati huyanena kwa hao walio chini ya torati, ili kila kinywa kifumbwe, na ulimwengu wote uwe chini ya hukumu ya Mungu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo