Methali 30:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Jogoo anayetamba; na beberu; Na mfalme asimamaye mbele ya watu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 jogoo aendaye kwa maringo; tena beberu; na mfalme mbele ya watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 jogoo aendaye kwa maringo; tena beberu; na mfalme mbele ya watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 jogoo aendaye kwa maringo; tena beberu; na mfalme mbele ya watu wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 jogoo atembeaye kwa maringo, pia beberu, na mfalme jeshi lake linapomzunguka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 jogoo atembeaye kwa maringo, pia beberu, naye mfalme pamoja na jeshi lake lililomzunguka. Tazama sura |