Methali 30:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Simba aliye hodari kupita wanyama wote; Wala hatishwi na mwingine yeyote yule; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 simba: Mnyama mwenye nguvu kuliko wote, wala hamwogopi mnyama mwingine yeyote; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 simba: Mnyama mwenye nguvu kuliko wote, wala hamwogopi mnyama mwingine yeyote; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 simba: mnyama mwenye nguvu kuliko wote, wala hamwogopi mnyama mwingine yeyote; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 simba, mwenye nguvu miongoni mwa wanyama, wala haogopi chochote; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 simba, mwenye nguvu miongoni mwa wanyama, asiyerudi nyuma kwa chochote; Tazama sura |