Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 30:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

27 Nzige hawana mfalme; Lakini huenda wote pamoja vikosi vikosi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 nzige: Hawana mfalme, lakini wote huenda pamoja kwa vikosi;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 nzige: Hawana mfalme, lakini wote huenda pamoja kwa vikosi;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 nzige: hawana mfalme, lakini wote huenda pamoja kwa vikosi;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Nzige hawana mfalme, hata hivyo huenda pamoja vikosi vikosi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Nzige hawana mfalme, hata hivyo huenda pamoja vikosi vikosi.

Tazama sura Nakili




Methali 30:27
10 Marejeleo ya Msalaba  

Alisema, kukaja nzige, Na tunutu wasiohesabika;


Mjusi hushika kwa mikono yake; Lakini yumo majumbani mwa wafalme.


Kwa maana yeye hana kiongozi, Wala msimamizi, wala mkuu,


Yaliyosazwa na tunutu yameliwa na nzige; na yaliyosazwa na nzige yameliwa na parare; na yaliyosazwa na parare yameliwa na madumadu.


Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo