Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 30:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 Chungu ni watu wasio na nguvu; Lakini hujiwekea chakula wakati wa joto.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Sisimizi: Wadudu wasio na nguvu, lakini hujihifadhia chakula wakati wa kiangazi;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Sisimizi: Wadudu wasio na nguvu, lakini hujihifadhia chakula wakati wa kiangazi;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 sisimizi: wadudu wasio na nguvu, lakini hujihifadhia chakula wakati wa kiangazi;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Mchwa ni viumbe wenye nguvu ndogo, hata hivyo hujiwekea akiba ya chakula chao wakati wa kiangazi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Mchwa ni viumbe wenye nguvu ndogo, hata hivyo hujiwekea akiba ya chakula chao wakati wa kiangazi.

Tazama sura Nakili

Methali 30:25
3 Marejeleo ya Msalaba  

Akusanyaye wakati wa joto ni mwana mwenye hekima; Bali asinziaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha.

Kuna viumbe vinne duniani vilivyo vidogo; Lakini vina akili nyingi sana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo