Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 30:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Hivyo ndivyo mwendo wa mwanamke mzinifu; Hula, akapangusa kinywa chake, Akasema, Sikufanya uovu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Mwenendo wa mwanamke mwasherati ni hivi: Yeye hula, akajipangusa mdomo, na kusema, “Sijafanya kosa lolote!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Mwenendo wa mwanamke mwasherati ni hivi: Yeye hula, akajipangusa mdomo, na kusema, “Sijafanya kosa lolote!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Mwenendo wa mwanamke mwasherati ni hivi: yeye hula, akajipangusa mdomo, na kusema, “Sijafanya kosa lolote!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 “Huu ndio mwendo wa mwanamke mzinzi, hula akapangusa kinywa chake na kusema, ‘Sikufanya chochote kibaya.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 “Huu ndio mwendo wa mwanamke mzinzi, hula akapangusa kinywa chake na kusema, ‘Sikufanya chochote kibaya.’

Tazama sura Nakili




Methali 30:20
6 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Daudi akatuma wajumbe, akamtwaa; naye akaingia kwake; naye akalala naye; (maana yule mwanamke amekwisha kutakasika unajisi wake); kisha akarudi nyumbani kwake.


Kwa ajili ya mambo matatu nchi hutetemeka, Naam, kwa ajili ya manne haiwezi kuvumilia.


Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake ni za kutangatanga wala hana habari.


Wawezaje kusema, Sikutiwa unajisi, sikuwafuata Mabaali? Itazame njia yako bondeni, ujue uliyoyatenda; wewe u ngamia mwepesi, apitaye katika njia zake;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo