Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Methali 3:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Mtumaini Mwenyezi-Mungu kwa moyo wako wote, wala usitegemee akili zako mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Mtumaini Mwenyezi-Mungu kwa moyo wako wote, wala usitegemee akili zako mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Mtumaini Mwenyezi-Mungu kwa moyo wako wote, wala usitegemee akili zako mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Mtumaini Mwenyezi Mungu kwa moyo wako wote wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Mtumaini bwana kwa moyo wako wote wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

Tazama sura Nakili




Methali 3:5
24 Marejeleo ya Msalaba  

Basi tukafunga, tukamsihi Mungu wetu kwa ajili ya hayo; naye akatutakabali.


Tazama, ataniua; sina tumaini; Ila hata hivyo nitaithibitisha njia yangu mbele yake.


Wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni, Ambao hautikisiki, wakaa milele.


Umtumaini BWANA ukatende mema, Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.


Umkabidhi BWANA njia yako, Pia umtumainie, naye atakutendea.


Utulie mbele za BWANA, Nawe umngojee kwa subira; Usihangaike juu ya afanikiwaye katika njia yake, Wala mtu apangaye maovu.


Enyi watu, mtumainini sikuzote, Ifunueni mioyo yenu mbele zake; Mungu ndiye kimbilio letu.


Ili matumaini yako uyaweke kwa BWANA, leo nimekujulisha wewe haya, naam, wewe.


Usijitaabishe ili kupata utajiri; Acha kuzitegemea akili zako mwenyewe.


Mwenye kujitumainia moyo wake ni mjinga; Bali yeye aendaye kwa busara ataokolewa.


Usiwe na hekima machoni pako; Mche BWANA, ukajiepushe na uovu.


Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu; Nitatumaini wala sitaogopa; Maana BWANA YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu.


Ee BWANA, najua ya kuwa njia ya mwanadamu haimo katika nafsi yake; kuelekeza hatua zake si katika uwezo wa mwanadamu.


BWANA asema hivi, Mwenye hekima asijisifu kwa sababu ya hekima yake, wala mwenye nguvu asijisifu kwa sababu ya nguvu zake, wala tajiri asijisifu kwa sababu ya utajiri wake;


Na pengine lile wingu lilikaa juu ya maskani siku chache; ndipo kwa amri ya BWANA walikaa katika kambi yao, tena kwa amri ya BWANA walisafiri.


Ikiwa lile wingu lilikawia, likikaa juu ya maskani siku mbili, au mwezi, au mwaka, wana wa Israeli walikaa katika kambi yao, wasisafiri;


Mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi. Msinuie yaliyo makuu, lakini mkubali kushughulishwa na mambo manyonge. Msiwe watu wa kujivunia akili.


Nasi katika huyo tupate kuwa sifa ya utukufu wake, sisi tuliotangulia kumwekea Kristo tumaini letu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo