Methali 3:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Wenye hekima wataurithi utukufu, Bali kukuzwa kwa wapumbavu ni fedheha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Wenye hekima watavuna heshima, lakini wapumbavu watapata fedheha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Wenye hekima watavuna heshima, lakini wapumbavu watapata fedheha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Wenye hekima watavuna heshima, lakini wapumbavu watapata fedheha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Wenye hekima hurithi heshima, bali huwaaibisha wapumbavu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Wenye hekima hurithi heshima, bali huwaaibisha wapumbavu. Tazama sura |