Methali 3:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Maana mtu mjeuri ni chukizo kwa BWANA, Bali siri yake ni pamoja na wanyofu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Maana waovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu; lakini yeye huwafanya marafiki zake wale walio wanyofu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Maana waovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu; lakini yeye huwafanya marafiki zake wale walio wanyofu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Maana waovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu; lakini yeye huwafanya marafiki zake wale walio wanyofu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 kwa kuwa Mwenyezi Mungu humchukia mtu mpotovu, lakini siri yake iko kwa mwenye haki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 kwa kuwa bwana humchukia mtu mpotovu, lakini siri yake iko kwa mwenye haki. Tazama sura |