Methali 3:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Usimhusudu mtu mwenye ujeuri, Wala usiichague mojawapo ya njia zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Usimwonee wivu mtu mkatili, wala usiige mwenendo wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Usimwonee wivu mtu mkatili, wala usiige mwenendo wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Usimwonee wivu mtu mkatili, wala usiige mwenendo wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Usimwonee wivu mtu mwenye jeuri wala kuchagua njia yake yoyote, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Usimwonee wivu mtu mwenye jeuri wala kuchagua njia yake iwayo yote, Tazama sura |