Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Methali 3:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 Kwa kuwa BWANA atakuwa tumaini lako, Naye atakulinda mguu wako usinaswe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Maana Mwenyezi-Mungu ndiye atakayekutegemeza; atakuepusha usije ukanaswa mtegoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Maana Mwenyezi-Mungu ndiye atakayekutegemeza; atakuepusha usije ukanaswa mtegoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Maana Mwenyezi-Mungu ndiye atakayekutegemeza; atakuepusha usije ukanaswa mtegoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 kwa kuwa Mwenyezi Mungu atakuwa tumaini lako na kuepusha mguu wako kunaswa katika mtego.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 kwa kuwa bwana atakuwa tumaini lako na kuepusha mguu wako kunaswa katika mtego.

Tazama sura Nakili




Methali 3:26
7 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Dini yako siyo tegemeo lako? Na matumaini yako si huo uelekevu wa njia zako?


Hatauacha mguu wako usogezwe; Akulindaye hatasinzia;


Maana Yeye atakuokoa kutoka kwa mtego wa mwindaji, Na katika maradhi mabaya.


Kumcha BWANA ni tumaini imara; Watoto wake watakuwa na kimbilio.


Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake; Bali waovu watanyamazishwa gizani, Maana kwa nguvu hakuna atakayeshinda;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo