Methali 3:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Basi yatakuwa uzima kwa nafsi yako, Na neema shingoni mwako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 navyo vitakuwa uhai nafsini mwako, na pambo zuri shingoni mwako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 navyo vitakuwa uhai nafsini mwako, na pambo zuri shingoni mwako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 navyo vitakuwa uhai nafsini mwako, na pambo zuri shingoni mwako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 ndipo vitakapokuwa uzima nafsini mwako na pambo la neema shingoni mwako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 ndipo vitakapokuwa uzima nafsini mwako na pambo la neema shingoni mwako. Tazama sura |