Methali 3:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Yeye ana thamani kuliko marijani, Wala vyote uvitamanivyo havilingani naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Hekima ina thamani kuliko johari, hamna unachotamani kiwezacho kulingana nayo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Hekima ina thamani kuliko johari, hamna unachotamani kiwezacho kulingana nayo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Hekima ina thamani kuliko johari, hamna unachotamani kiwezacho kulingana nayo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Hekima ana thamani kuliko marijani; hakuna chochote unachokitamani kinachoweza kulinganishwa naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Hekima ana thamani kuliko marijani; hakuna chochote unachokitamani kinachoweza kulinganishwa naye. Tazama sura |