Methali 3:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Heri mtu yule aonaye hekima, Na mtu yule apataye ufahamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Heri mtu anayegundua hekima, mtu yule anayepata ufahamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Heri mtu anayegundua hekima, mtu yule anayepata ufahamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Heri mtu anayegundua hekima, mtu yule anayepata ufahamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Heri mtu yule apataye hekima, mtu yule apataye ufahamu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Heri mtu yule aonaye hekima, mtu yule apataye ufahamu, Tazama sura |