Methali 3:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Kwa kuwa BWANA ampendaye humrudi, Kama vile baba mwanawe ampendezaye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 maana Mwenyezi-Mungu humwonya yule ampendaye, kama baba amwonyavyo mwanawe mpenzi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 maana Mwenyezi-Mungu humwonya yule ampendaye, kama baba amwonyavyo mwanawe mpenzi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 maana Mwenyezi-Mungu humwonya yule ampendaye, kama baba amwonyavyo mwanawe mpenzi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 kwa sababu Mwenyezi Mungu huwaadibisha wale anaowapenda, kama vile baba afanyavyo kwa mwana apendezwaye naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 kwa sababu bwana huwaadibisha wale awapendao, kama vile baba afanyavyo kwa mwana apendezwaye naye. Tazama sura |