Methali 29:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Mwenye kujipendekeza kwa jirani yake, Hutandika wavu ili kuitega miguu yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mwenye kumbembeleza jirani yake, anatega mtego wa kujinasa mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mwenye kumbembeleza jirani yake, anatega mtego wa kujinasa mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mwenye kumbembeleza jirani yake, anatega mtego wa kujinasa mwenyewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Yeyote amsifuye jirani yake isivyostahili, anautandaza wavu kuitega miguu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Yeyote amsifuye jirani yake isivyostahili, anautandaza wavu kuitega miguu yake. Tazama sura |