Methali 29:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki; Na mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Mdhalimu ni chukizo kwa mnyofu, naye mnyofu ni chukizo kwa mwovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Mdhalimu ni chukizo kwa mnyofu, naye mnyofu ni chukizo kwa mwovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Mdhalimu ni chukizo kwa mnyofu, naye mnyofu ni chukizo kwa mwovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Mwenye haki huwachukia sana wasio waaminifu; waovu huwachukia sana wenye haki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Mwenye haki huwachukia sana wasio waaminifu; waovu huwachukia sana wenye haki. Tazama sura |