Methali 29:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Kuwaogopa wanadamu huleta mtego; Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Kuwaogopa watu ni kujitega mwenyewe, lakini anayemtumaini Mwenyezi-Mungu yu salama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Kuwaogopa watu ni kujitega mwenyewe, lakini anayemtumaini Mwenyezi-Mungu yu salama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Kuwaogopa watu ni kujitega mwenyewe, lakini anayemtumaini Mwenyezi-Mungu yu salama. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Kuwaogopa watu huwa ni mtego, bali yeyote amtumainiaye Mwenyezi Mungu atakuwa salama. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Kuwaogopa watu huwa ni mtego, bali yeyote amtumainiaye bwana atakuwa salama. Tazama sura |