Methali 29:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Kiburi cha mtu kitamshusha; Bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Kiburi cha mtu humporomosha mwenyewe, lakini mnyenyekevu wa roho atapata heshima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Kiburi cha mtu humporomosha mwenyewe, lakini mnyenyekevu wa roho atapata heshima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Kiburi cha mtu humporomosha mwenyewe, lakini mnyenyekevu wa roho atapata heshima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Kiburi cha mtu humshusha, bali mtu mwenye roho ya unyenyekevu hupata heshima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Kiburi cha mtu humshusha, bali mtu mwenye roho ya unyenyekevu hupata heshima. Tazama sura |