Methali 29:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Haitoshi mtumwa kuonywa kwa maneno; Maana ajapoyafahamu hataitika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Mtumwa haonyeki kwa maneno matupu, maana ingawa anayaelewa yeye hatayatii. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Mtumwa haonyeki kwa maneno matupu, maana ingawa anayaelewa yeye hatayatii. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Mtumwa haonyeki kwa maneno matupu, maana ingawa anayaelewa yeye hatayatii. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Mtumishi hawezi kuonywa kwa maneno matupu, hata akielewa, hataitikia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Mtumishi hawezi kuonywa kwa maneno matupu, ajapoelewa, hataitikia. Tazama sura |